DINDAI CUP YAENDELEA KUTIMUA VUMBI KATIKA UWANJA WA PEPSI CHAMAGUHA

 Na 

Paschazia Charles 

Mashindano ya Dindai Cup 2026 yameendelea siku ya leo ikizikutanisha timu ya Iwelyangulya dhidi ya Home Boys na mechi kumalizika kwa suruhu yaani kutokufungana.

Iwelyangulwa 0-0 Home Boys.

Mechi za siku ya leo katika mashindano hayo ya Dindai Cup 2026  ni kati ya Busulwa sports academy dhidi ya C-Coy sports Club mechi hii itachezwa katika uwanja wa Pepsi uliopo kata ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga, kuanzia saa kumi kamili jioni.

Busulwa SA Vs C-Coy Sc

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa mechi kati ya Iwelyangulya dhidi ya Home Boys.


















Download/Pakua/Install App ya APA HABARI Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia apahabarikadama@yahoo.com
Previous Post Next Post