Na
Paschazia Charles
Mashindano ya Dindai Cup yameendelea siku ya leo ikizikutanisha timu ya Busulwa Sports Academy dhidi ya C-Coy Sports Club na mechi imemalizika kwa Busulwa Sports Academy kushinda 1-0 dhidi ya C-Coy Sports Club.
Busulwa SA 1-0 C-Coy SC
Mechi za siku ya kesho katika mashindano hayo ya Dindai Cup ni kati ya Chipukizi Fc dhidi ya Katunda Fc academy .
Chipukizi Fc Vs Katunda Fc
Mechi hii itachezwa katika uwanja wa Pepsi uliopo kata ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga, kuanzia saa kumi kamili jioni.
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa mchezo kati ya Busulwa Sports Academy dhidi ya C-COY Sports Club.












